· Novemba, 2008

Habari kuhusu Utawala kutoka Novemba, 2008

Iraki:OBAMAAAAA!!! Huraaah Oyee!!

  9 Novemba 2008

Hivyo ndivyo asemavyo Neurotic Iraqi Wife. Kwa ujumla blogu nyingi za Iraki zimemchukulia vyema rais mteule Obama, lakini sio wanablogu wote waliofurahia. Salam Adil anaorodhesha maoni baada ya Uchaguzi wa rais huko Marekani.