Habari kuhusu Utawala kutoka Septemba, 2009
Marekani: Stempu ya Iddi Yachochea Chuki Huko Tennessee
Barua pepe yenye madai ya uongo kuwa Rais Obama ametoa stempu mpya kuadhimisha sikukuu ya Waislamu Eid al-Fitr imemfikia Meya wa Tennessee ambaye aliisambaza kwa wafanyakazi wake na waasa waisusie stempu hiyo.