Habari kuhusu Utawala kutoka Aprili, 2019
Rais wa Guinea Alpha Condé Awambia Wafuasi Wake Kuwa Tayari Kupambana
Alpha Condé, Rais wa Guinea aliwaambia wafuasi wake kuwa tayari kwa makabiliano mazito na wale wanaweza kumpinga kugombea urais kwa muhula wa tatu.
Rais wa Angola Aamsha Hasira Kwenye Mahojiano Yake Akidai Hakuna Njaa Nchini Kwake
"Leo kuna chakula cha kutosha Angola, hakuna mtu anayeweza kusema eti Angola ina njaa. Kilichopo ni utapiamlo," alisema Rais wa Angola kwenye mahojiano.
Askari Polisi wa Uganda Wamuua Mtu Kimakosa kwa Kumpiga Risasi Wakidhani ni Kiongozi wa Kisiasa
Habari ya Ronald Ssebulime ni kubwa sana. Kuna habari tofauti kuhusu nani aliyemuua “anayedhaniwa kuwa mshambuliaji”na namna alivyoua. Je haki itatendeka?
Wanachama Vigogo wa Vyama vya Upinzani Tanzania Wanahamia Chama Tawala
Hivi karibuni, wanaohama chama kikuu cha upinzani, CHADEMA, ni pamoja na wabunge wanne, madiwani 75 na wenyeviti wa vijiji kadhaa wote wamejiunga na chama tawala, CCM.
Nchini Burundi Kuchorachora Picha ya Rais —ni Kosa la Kukupeleka Jela
"Kama ningefanya katika Burundi ya Nkurunziza, ningeweza kufungwa jela."