Habari kuhusu Utawala kutoka Novemba, 2013
Kufuatilia Kongamano la Dunia la Demokrasia 2013
Kongamano la Dunia la Demokrasia kwa sasa linafanyika mjini Strasbourg, Ufaransa kwa mara ya ppili tangu lianze. Kauli mbiu ya mkutano wa mwaka huu ni “kuunganisha Taasisi na Wananchi katika...
Wanasayansi Kutoka Duniani Kote Wakusanyika Nchini Brazil
Jukwaa la Sayansi Duniani (WSF) linajumuisha mamia ya wanasayansi kutoka duniani kote wiki hii nchini Brazil, kujadili wajibu wao katika karne ya 21 na kusisitiza umuhimu wa ushauri wa kisayansi...
VIDEO: Serikali Yaharibu Misikiti Nchini Angola
Uharibifu wa misikiti isiyopungua 11 katika miezi miwili iliyopita nchini Angola imechochea athari ya hasira kwenye mtandao. Kwa mujibu wa Voz da América [pt], Mamlaka ya Angola ilisema kuwa sababu ya...
Iran: Mwanablogu Aliyefungwa Jela Ahitaji Huduma ya Matibabu ya Haraka
Mwanablogu aliyefungwa jela,Hossein Ronaghi Maleki anahitaji huduma ya matibabu ya haraka. Alihukumiwa kifungo cha jela cha miaka 15. Laleh alitwiti Mwanaharakati aliyefungwa jela Hossein Ronaghi yuko katika hali mbaya ya...
Sera ya Taarifa ya Uwazi Yahitaji Kuboreshwa zaidi Nchini Japan
Pamoja na kuwa serikali ya Japan inajitahidi kupiga hatua katika uboreshaji wa sera yake ya uwazi, nchi hii bado ina safari ndefu, kwani imeshika nafasi ya 30 kati ya nchi...
Je, Ni Mipango Ipi Xi Anayo kwa Vyombo vya Habari Nchini China?
David Bandurski kutoka mradi wa vyombo vya habari nchini China anaangalia jinsi sera ya vyombo vya habari ya uongozi mpya wa Chama cha Kikomunisti ya Kichina, hasa baada ya mkutano...
Ecuador: “Harakati ya Kiasili Itaendelea”
“Serikali inaweza kuendelea na jitihada zake za kutufanya sisi kutosikika, lakini mapambano yetu hayawezi kushindwa. Bora kuna ukosefu wa haki, na kuwepo kwa tofauti kubwa kati ya mijini na vijijini...
FIFA Yazipiga Faini Croatia na Ugiriki kwa Tabia ya Mashabiki ya Ubaguzi wa Rangi
Mnamo Novemba 2013, Croatia ilijiunga na orodha ya kuongezeka kwa timu za taifa za kandanda ambazo FIFA imezipiga faini kwa ajili ya tabia za ubaguzi wa rangi ya mashabiki wao...
Serbia Yaibua Maswali Ikiwa Kanisa Lastahili Kusamehewa Kodi
Nchini Serbia ripoti ya uchuguzi uliofanywa na shirika la Serbia la kila siku liitwalo Blic ikiwa Kanisa la Kisabia la Orthodox, ambao viongozi wao hivi karibuni wamekuwa katika vyombo vya...
Wa-Malawi Wajiandae kwa Kashfa Zaidi za Ufisadi
Steve Sharra anaelezea kwa nini Wamalawi wanakabiliwa na kashfa ya zaidi za ufisadi baada habari kuwa wazi kwamba baadhi ya wa-Malawi wenye nguvu walitumia vibaya Mfumo wa Pamoja wa Ndani...