Habari kuhusu Utawala kutoka Novemba, 2013
Mradi Mkubwa wa Reli Kati ya Mji wa Niamey na Cotonou Kuanza
Mradi wa reli wa urefu wa kilometa 1,500 kati ya Niamey, mji mkuu wa Niger na Cotonou, mji mkuu wa Benin umepitishwa na mamlaka ya nchi hizo mbili na ujenzi...
Msongamano Gerezani Nchini Indonesia
Leopold Sudaryono anakabiliana na tatizo la msongamano wa magereza nchini Indonesia. Mwaka wa 2011, kulikuwa na wafungwa 144,000 kwenye nchi. Magereza yaliripotiwa kuwa na msongamano mkubwa na asilimia 45 kwa...
Iran:Raia wa Mtandaoni Wanane Wakamatwa
Mamlaka ya Iran ilitangaza kuwa raia wa mtandaoni wanane ikiwa ni pamoja na mwanamke mmoja walikamatwa katika Rafsanjan, katika Mkoa wa Kerman, kwa madai ya “kutusi utakatifu wa Kiislamu na...
Sherehe ya ‘Siku ya Makazi Duniani’ Nchini Cambodia
Zaidi ya Wa-Cambodia 500 walijiunga na maandamano wakati wa maadhimisho ya Siku ya Makazi Duniani katika Phnom Penh kuonyesha kufukuzwa kwa nguvu na migogoro ya ardhi nchini.