· Disemba, 2013

Habari kuhusu Utawala kutoka Disemba, 2013

Changamoto za Huduma ya Afya kwa Familia Katika Apatou, French Guiana

  23 Disemba 2013

Henri Dumoulin, mchangiaji wa Global Voices, anakumbuka kukaa kwake huko Apatou, French Guiana,sehemu iliyoko katika msitu wa Amazon. Anaelezea jinsi gani, kama daktari wa mpango wa ulinzi wa Afya ya Mama na Mtoto huko, alivyokuwa akitegemea ushirikiano rasmi na mfumo wa afya wa Suriname na kutizamwa mazingira ya lugha mbalimbali...

Hali ya Uhuru wa Dini Nchini Maldivi

  23 Disemba 2013

Maldivi ni miongoni mwa nchi za kwanza kwenye orodha ya serikali zinazozuia uhuru wa dini. Ni lazima raia Wamaldivi wawe Waislamu, na hawawezi kufuata dini yoyote isipokuwa Uislamu. Wageni wasio Waislamu hawawezi kupiga kura, kuabudu hadharani, kupata uraia, wala kutumikia umma. Kwa maoni ya Mwanahabari Hilath Rasheed, huenda nchi ya...

Kudumisha Maadili Muhimu ya Vijana wa Bhutanese

  10 Disemba 2013

Bhutan imebarikiwa na endelevu, urithi tajiri wa utamaduni na watu wa Bhutanese wana fahari katika kuunga mkono idadi ya maadili muhimu ikiwa ni pamoja na maelewano, huruma na uzalendo. Mwanablogu Dorji Wangchuk amekuwa akifanya kazi kurejesha watumiaji madawa ya kulevya na walevi na kutafuta ufumbuzi wa muda mrefu wa tatizo...