Habari kuhusu Utawala kutoka Mei, 2018
Kwa Sasa Bunge la Cuba Lina Makamu wa Rais Watatu Weusi. Inakuwaje Hali Hiyo Haikutengeneza Habari?
"Kwa wapinzani kote [...] kila mmoja amekandamizwa kiasi kwamba ubaguzi wa rangi si suala la kupewa uzito. Mabadiliko haya yanahujumu mjadala na yanatuzuia kwenda mbele."
Wanaharakati wa Cuba Waanzisha Ajenda Kuhusu Haki za Mashoga Nchini Cuba
"Nini kinaweza kuchukuliwa kuwa waraka wa kwanza wa aina yake nchini Cuba [...] ikiwa na matakwa 63 na imegawanywa kwenye vipengele viwili: hatua na sera za kibunge na sena, mipango na mikakati."
Bangladeshi Yasherehekea Kurushwa Angani Kwa Setilaiti Yao Kwa Mara ya Kwanza
"Kurushwa kwa chombo hiki cha Bangabandhu Satellite-1 kumethibitishwa. labda hivi ndivyo nchi inavyobadilika. Tunajisikia fahari sana."
Brazil Yatambulisha Kanuni Ngumu Dhidi ya ‘Habari Zisizo za Kweli’ Kuelekea Uchaguzi wa 2018
Kamati yenye wajumbe wanaotoka jeshini, polisi na idara ya Usalama ya Brazili itakuwa na kazi ya kufuatilia na ikibidi kutoa amri ya kufungiwa kwa habari za uongo kwenye mitandao ya kijamii.