Pamoja na kuwa serikali ya Japan inajitahidi kupiga hatua katika uboreshaji wa sera yake ya uwazi, nchi hii bado ina safari ndefu, kwani imeshika nafasi ya 30 kati ya nchi 70, kwa mujibu wa orodha liyoandaliwa na Asasi ya Ujuzi Huru. Masahiko Shoji wa Asasi ya Ujuzi Huru nchini Japani aandika:
日本は、政府支出、企業登記情報、交通時刻表、立法の分野で低い評価を受けました。また、どの項目もオープンライセンスの採用については「Yes」の評価を得ませんでした。これらの課題は6月に発表されたG8諸国における速報の時点と同じであり、日本の取り組みが大きくが進んでいないことを表しています。
Taaarifa huru za Japani kuhusiana na matumizi ya serikali, usajili wa makampuni, ratiba za usafiri na vyombo vya mahakama vilipata uungwaji mkono usioridhisha. Sehemu za taarifa hizi hazikupata tathmini ya “ndio”. changamoto kama hizi zinafanana na zile za viwango vya wanachama wa kundi la G8 vilivyotolewa mwezi Juni mwaka huu na Asasi ya Ujuzi Huru inayoonesha kuwa juhudi za Japani za kuboresha sera ya uwazi bado ni ndogo.