Habari kuhusu Asia Mashariki kutoka Juni, 2016
Matangazo ya Sauti ya ‘Wiki Ilivyokwenda’ Global Voices: Ndugu, Timiza wajibu Wako
Wiki hii tunakupeleka Urusi, India, Madagascar, Venezuela na Singapore.
Wa-Japan Walivyo na Mapenzi kwa Kapibara, Wanyama wenye Sura ya Panya Buku
Nchini Japan, inaonekana kuna utamaduni wa mtandaoni wa kuwapenda kapibara, wanyama wakubwa kama panya buku wenye asili ya Marekani ya Kusini
Du! Kosa la Facebook Kugeuza Bendera ya Ufilipino Laifanya Nchi Ionekane iko kwenye ‘Hali ya Vita’
"Jamani @facebook: Bendera ionekane hivi na iwe Siku ya Uhuru. Kweli? ."
Matangazo ya Sauti ya ‘Wiki Ilivyokwenda’ Global Voices: Mashujaa Wasiofahamika
Wiki hii, tunaelekea hadi Bosnia na Herzegovina, Japan na Myanmar