Habari kuhusu Asia Mashariki kutoka Februari, 2014
Mazungumzo ya GV: Tafakuri ya Kina Kuhusu Muziki wa Mahadhi ya Pop Nchini Korea
Umekuwa ukiitwa “bidhaa kuu ya mauzo nje” ya taifa la Korea Kusini. Wimbo wa PSY ulio katika mahadhi ya Pop ndio wimbo uliotazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube. Lakini nyuma...
Picha Mpya ya Korea Kaskazini ya Shirika la Anga la Marekani
Wasomaji wa kimataifa wanaofuatilia masuala ya Korea Kaskazini labda wangekutana angalau mara moja na picha hii maarufu ya rasi ya Korea kutoka Shirika la Anga la Marekani (NASA) kuonesha tofauti kubwa ya...
PICHA: Vyama vya Wafanyakazi na Asasi za Kiraia Vyaandaa Mgomo
Huku ukiwa umepangiliwa ufanyike mwanzo wa kipindi cha pili cha Rais Park Geun-hye madarakani, takribani wa-Korea elfu 40 (polisi wanadai ni elfu 15) walifanya mgomo nchini kote. Mgomo huo, ulipangwa...
Shirika la UNICEF Latoa Wito wa Kutokuweko kwa Watoto Katika Maandamano Nchini Thailand
Baada ya mlipuko wa bomu la kurushwa kwa mkono nakuwauwa watoto watatu katika maandamano ya kupambana na serikali katika eneo la Bangkok, Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa...
Sinagogi Pekee Lililobaki Myanmar
Lilijengwa miaka 120 iliyopita, Sinagogi la Musmeah Yeshua lililoko eneo la Yangon ni Sinagogi pekee la wayahudi lililoyobaki katika eneo linaloongozwa na waumini wa dini ya Kibudha waishio nchini Myanmar....
Mwandishi Mwandamizi wa Kichina Akosolewa kwa Kujifungulia Marekani
"...anachotaka tu ni mwanae awe na mtindo wa kawaida wa maisha, kitu ambacho hakina uhusiano na uzalendo. Labda, hili ndilo tatizo ambalo serikali yapaswa kulitafakari..."
PICHA: Muonekano Uletao Kizunguzungu Kutoka Kilele cha Mnara wa Shanghai
Take a look at photos taken by Russian climbing team Vadim Makhorov and Vitaly Raskalov from the top of what will soon be the second tallest building in the world.