Habari kuhusu Asia Mashariki kutoka Novemba, 2013
Onesho la Mitindo Nchini Japan na Kauli Mbiu ya Kusitishwa kwa Matumizi ya Nguvu Dhidi ya Wanawake
Umoja wa Wanawake wa Asia, shirika lisilo la kimaslahi linaloshughulika na haki za wanawake linaratibu onesho la mitindo linalobeba ujumbe wa Mtindo wa Kukabiliana na Mfumo Kandamizi kwa lengo la kuvuta hisia za watu kuhusiana na suala la matumizi ya nguvu dhidi ya Wanawake.
Sera ya Taarifa ya Uwazi Yahitaji Kuboreshwa zaidi Nchini Japan
Pamoja na kuwa serikali ya Japan inajitahidi kupiga hatua katika uboreshaji wa sera yake ya uwazi, nchi hii bado ina safari ndefu, kwani imeshika nafasi ya 30 kati ya nchi...
Je, Ni Mipango Ipi Xi Anayo kwa Vyombo vya Habari Nchini China?
David Bandurski kutoka mradi wa vyombo vya habari nchini China anaangalia jinsi sera ya vyombo vya habari ya uongozi mpya wa Chama cha Kikomunisti ya Kichina, hasa baada ya mkutano...
Waathirika wa Kimbunga Nchini Ufilipino Wauliza: ‘Iko Wapi Serikali Yetu?’
Misaada inamiminika kutoka duniani kote lakini bado wahanga wa kimbunga wanalalamika kuwa hawajapokea msaada wowote kutoka serikalini
Global Voices Yasaidia Wahanga wa Haiyan Nchini Ufilipino
Kimbunga kijulikanacho kama Haiyan hadi sasa kimeshaua maelfu ya watu nchini Ufilipino. Wiki hii tunaongea na waandishi wetu wlioko nchini Ufilipino pamoja na mfanyakazi anayehusika na misaada kujua ni kwa namna gani tunaweza kutoa msaada wetu.
Mradi wa Hifadhi ya Papa Nchini Thailand
Nchini Thailand eShark mradi ulizinduliwa katika mwanga wa taarifa ya kushuka kwa asilimia 95 drop katika kuonekana kwa papa nchini Thailand. Matokeo ya mradi wa eShark nchini Thailand utatumika kuleta...
Jinsi Vyombo vya Habari vya Kijamii Vimeleta Mabadiliko ya Kisiasa Nchini Cambodia
Colin Meyn anaelezea jinsi ‘kuenea kwa haraka kwa kwa vyombo vya habari vya kijamii kunabadilisha mazingira ya kisiasa nchini Cambodia.’ Vijana wapiga kura wanaotaka mabadiliko pamoja na kampeni ya fujo...
Msongamano Gerezani Nchini Indonesia
Leopold Sudaryono anakabiliana na tatizo la msongamano wa magereza nchini Indonesia. Mwaka wa 2011, kulikuwa na wafungwa 144,000 kwenye nchi. Magereza yaliripotiwa kuwa na msongamano mkubwa na asilimia 45 kwa...
Kuwaokoa Akina Mama na Watoto Nchini Laos
Kundi la CleanBirth.org lina nia ya kuboresha hali ya huduma ya afya ya uzazi katika baadhi ya vijiji vya Laos vijijini kwa kutoa vifaa vya kuzalisha, mafunzo ya wauguzi wapya...
Ufuatiliaji wa Upendeleo Kwenye Vyombo vya Habari Nchini Malaysia
Tessa Houghton anashiriki matokeo ya utafiti ambao ulifuatilia upendeleo katika vyombo vya habari nchini Malaysia wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 13 miezi michache iliyopita: Wananchi wa Malaysia ambao walitegemea Kiingereza...