Ufuatiliaji wa Upendeleo Kwenye Vyombo vya Habari Nchini Malaysia

Tessa Houghton anashiriki matokeo ya utafiti ambao ulifuatilia upendeleo katika vyombo vya habari nchini Malaysia wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 13 miezi michache iliyopita:

Wananchi wa Malaysia ambao walitegemea Kiingereza na Bahasa magazeti ya Malaysia na/au televisheni kama chanzo cha vyombo vyao vya habari wakati wa kampeni ya GE13 hawakutolewa habari ya haki na sahihi na ambayo ingesaidia kwa uamuzi wanaopendelea wa kupiga kura, na mifumo wazi ya kupiga kura kujitokeza pamoja matabaka haya ya utofauti wa habari-mawasiliano na uhaba, na vyombo vya habari kutumika kama chombo zaidi cha mgawanyiko kuliko ya maridhiano.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.