· Disemba, 2010

Habari kuhusu Asia Mashariki kutoka Disemba, 2010

Bi Harusi wa Miaka 14 Huko Malaysia

  11 Disemba 2010

Je msichana mwenye umri wa miaka 14 aruhusiwe kufunga ndoa? Mahakama ya Syaria ya Malaysia hivi karibuni ilimruhusu msichana mwenye umri wa miaka 14 kufunga ndoa na mwalimu wake mwenye umri wa miaka 23. Wanablogu wanajadili suala la ndoa za watoto