· Mei, 2011

Habari kuhusu Asia Mashariki kutoka Mei, 2011

Singapore: Wanablogu Waikosoa Ilani ya PAP

  12 Mei 2011

Chama kinachotawala Singapore, People’s Action Party (PAP), kilitoa ilani yake ya uchaguzi tarehe 17 aprili, 2011, ambayo mara moja ilikosolewa na wanablogu wengi kwa “kutokuwa wazi”. PAP tayari kimekuwa madarakani kwa miongo mitano. Uchaguzi mkuu nchini humo umefanyika tarehe 7 Mei.