Habari kuhusu Asia Mashariki kutoka Julai, 2016
Je, Waziri Mkuu wa Malaysia Ndiye Mhusika Mkuu wa Kashfa ya Ufisadi wa Dola Bilioni Iliyotajwa na Marekani?
"Nina hasira kwamba fedha za wananchi zinatumiwa kama vile ni za mtu binafsi. Hazira yangu inakuwa kali kwa sababu huyu 'Afisa wa Malaysia1' hakamatiki hapa"
Shule Moja Nchini Timor-Lesté Kuwapiga Faini Wanafunzi Wanatakaoongea Lugha Rasmi ya Wenyeji
Wanafunzi ni lazima waongee Kireno wawapo shuleni. Wale ambao "hawataweza kuongea lugha hiyo" watalazimika kukaa kimya. Atakayekamatwa akizungumza lugha tofauti na Kireno "atapigwa faini".
Maafisa wa Myanmar Waungwa Mkono Mitandaoni Kupinga Kikundi Cha Ki-Buddha Chenye Msimamo Mkali
Alama Ishara ya #NoMaBaTha ilianzishwa kwenye mtandao wa facebook kumwonga mkono Waziri anayeshambuliwa kwa kukipinga kikundi cha msimamo mkali cha ki-Budhha nchini Myanmar.
Kuwa na Shahada Hakukuhakikishii Ajira Nchini China
"Kupata ajira ni kazi ngumu sana kwa kuwa yakupasa kuanguka na kuinuka tena mara nyingi iwezekanavyo."
Matangazo ya Sauti ya ‘Wiki Ilivyokwenda’ Global Voices: Ndugu, Timiza wajibu Wako: Uhuru, Si Udhibiti
Wiki hii tunakuchukua mpaka Puerto Rico, Kashmir, jimbo linalotawaliwa na India, Nepal, China na Myanmar.