· Novemba, 2010

Habari kuhusu Asia Mashariki kutoka Novemba, 2010

Myanmar: Hatimaye Suu Kyi Amekuwa Huru

  20 Novemba 2010

Amekuwa kifungoni kwa miaka 15 katika miaka 21 iliyopita, lakini hivi sasa hatimaye yuko huru. Kiongozi wa upinzani na alama ya wapenda demokrasia nchini Burma, Aung San Suu Kyi aliachiwa huru kutoka kizuizini mchana siku ya Jumamosi na serikali inayoungwa mkono na jeshi la Myanmar