· Machi, 2014

Habari kuhusu Asia Mashariki kutoka Machi, 2014

Maandamano ya Taiwan ya #KupingaBunge, Yatafsiriwa

  21 Machi 2014

Mamia ya watafsiri wamejipanga kupitia mtandao wa facebook kutafsiri habari kuhusu maandamano ya raia wanaojikusanya kwenye Bunge la nchi hiyo kupinga hatua ya chama tawala nchini humo kupitisha mkataba wa kibiashara wenye utata na nchi ya China.

Korea Kaskazini: Ni Lini Itaanguka?

  15 Machi 2014

Ingawa Korea Kusini inaonekana kutengeneza mahusiano na Korea ya Kaskazini, wataalamu wana wasiwasi kidogo kuhusu kubashiri kuanguka kwa Korea Kaskazini. NKnews.org ilichapisha posti nzuri kuhusu uwezekano wa kutawanyika kwa utawala wa...

Kuumaliza Umasikini Nchini Malaysia

  4 Machi 2014

Kikundi cha Saya Anak Bangsa Malaysia kinashinikiza kupitishwa kwa Sheria ya Ujumuishi wa Kijamii ili kutatua tatizo la umasikini nchini Malaysia: Maelekezo yatokayo juu kuja chini yanaonekana kutokufanya kazi pamoja...