Habari kuhusu Asia Mashariki kutoka Agosti, 2009
China: Mitizamo Potofu Pamoja na Ubaguzi wa Wa-Han Dhidi ya Wa-Uyghur
Ni mwezi mmoja na zaidi umepita tangu machafuko ya Xinjiang ya Julai 5 na wengi wa wanamtandao wa intaneti wa Kichina bado wanazilaumu nchi za Magharibi pamoja na Rebiya Kadeer...
Korea: Ziara ya Clinton Korea Kaskazini
Habari ya kushangaza. Kwa ghafla, Clinton alizuru Korea ya Kaskazini na kama vile 007 aliwarudisha nyumbani wanahabari wawili wa kike ambao walikuwa wameshikiliwa nchini Korea Kaskazini. Kuhusiana na habari hii...