· Februari, 2012

Habari kuhusu Asia Mashariki kutoka Februari, 2012

Habari za Ulimwengu: Mikesha ya Mshikamano na Wanatibeti

  24 Februari 2012

Tangu mwezi Februari 2009, WaTibeti 23 wamejichoma moto ili kudai Tibeti huru na kurejea kwa Dalai Lama. Katika mwezi wa mwaka mpya wa kiTibeti, wanaharakati kutoka duniani kote wanaonyesha jinsi wanavyowaunga mkono waTibeti kwa maandamano na dua.