Habari kuhusu Asia Mashariki kutoka Disemba, 2013
China: Mashindano ya “Akina Mama Wanaotamanisha”
Sina Weibo, tovuti ya Kichina inayofanana na Twitta, imeandaa mashindano ya “Akina Mama Wanaotamanisha.” Picha za washindani zinaonyesha wazi kwamba wengi wao sio akina mama halisi. Hata hivyo, hizo picha...
Mandela na Mao, Hawakushabihiana sana.
Jeremiah kutoka katika studio ya Granite atoa maoni yake kwenye Televisheni ya Taifa ya China, CCTV akitaka kuonesha uhusiano uliokuwepo kati ya Mandela na Mao Zedong: Mandela hakushabihiana sana na...
Kimbunga Haiyan: Hadithi ya Ujasiri Kupitia Filamu Fupi
Kimbunga Haiyan, filamu fupi kwa hisani ya Janssen Powers, inaonyesha hali baada ya dhoruba ambayo mapema mwezi Novemba iliua zaidi ya watu 6,000 katika jimbo la Philippine la Leyte. “Kwa...
Sababu za Ajali Barabarani Mjini Bangkok
Cha kushangaza, polisi mjini Bangkok, Thailand wanadai kwamba asilimia 30 ya ajali za barabarani husababishwa na ‘magari yasiyostahili kuwa barabarani’ wakati yanayo endeshwa kasi ni asilimia 5 ya ajali. Mwandishi...
Mkutano: Kutengeneza Dunia Halisi ya Sauti za Dunia kwa Hadhira Halisi
Katika toleo hili la GV Face tunakutana na jopo la magwiji wa wawezeshaji wa mikutano ya Global Voices kutoka Misri, Pakistan, na Ureno.
Taiwan: Maandamano Dhidi ya Sheria Juu ya Usawa Kwenye Ndoa
Wabunge wa Yuan nchini Taiwan walipitisha muswada wa kwanza ya “Usawa kwenye Ndoa“ [zh] mnamo Oktoba 25, 2013. Novemba 30, zaidi ya watu 300,000 walipinga muswada huu, hasa dhidi ya...
China: Jukumu la Baba
Mtandao wa Offbeat China umeanzisha kipindi kipya na maarufu cha televisheni kinachojulikana kwa jina la “Baba, tunaelekea wapi?”. Kipindi hicho kinawakutanisha akina baba watano maarufu pamoja na watoto wao kwa...