Habari kuhusu Asia Mashariki kutoka Januari, 2014
Kuokoa Maisha ya Tembo huko Laos
Kwa sasa, kuna mamia kadhaa tu ya Tembo nchini Laos, nchi ambayo mwanzoni ilijulikana kama 'nchi ya mamilioni ya tembo'. Makundi ya wapigania haki za wanyama wapaza sauti zao ili kulinda uhai wa tembo.
Rais wa Korea Kusini Aapa Kupambana Uzushi Unaoenezwa katika Mitandao ya Kijamii
Je, serikali ya Korea Kusini imejiandaa kwa kufuatilia mitandao ya kijamii? Matamshi ya hivi karibuni ya Rais Park (full transcript [ko]) yamewashitua wa-Korea wanaotumia mtandao. Park, akiwalenga “uvumi ule unaosambaa kupitia mitandao...
Wa-China Wametafuta Nini Zaidi Mtandaoni mwaka 2013
Mtandao wa kutafutia habari mtandaoni nchini China uitwao Baidu umetoa orodha ya maneno yaliyotumika zaidi kusaka habari. Orodha ya maneno kumi yaliyotumika zaidi ni kama ifuatavyo: Hali ya Hewa Taobao (tovuti...