Kuwaokoa Akina Mama na Watoto Nchini Laos

Kundi la CleanBirth.org lina nia ya kuboresha hali ya huduma ya afya ya uzazi katika baadhi ya vijiji vya Laos vijijini kwa kutoa vifaa vya kuzalisha, mafunzo ya wauguzi wapya na kuhamasisha kujitolea kwa wana kijiji. Katika taarifa ya hivi karibuni, kundi lilionyesha kwa nini wengi wa wana Lao vijijini huchaguakujifungua nyumbani badala ya kujifungua katika vituo vya afya. Miongoni mwa sababu ni ‘umbali na gharama za usafiri, matibabu duni, hamu ya kuwa karibu na familia, na hamu ya mazoea ya jadi ya kujifungua.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.