Jinsi Vyombo vya Habari vya Kijamii Vimeleta Mabadiliko ya Kisiasa Nchini Cambodia

Colin Meyn anaelezea jinsi ‘kuenea kwa haraka kwa kwa vyombo vya habari vya kijamii kunabadilisha mazingira ya kisiasa nchini Cambodia.’ Vijana wapiga kura wanaotaka mabadiliko pamoja na kampeni ya fujo ya upinzani katika mtandao ulifanya athari kubwa katika uchaguzi wa hivi karibuni. Jambo la kushangaza, Waziri Mkuu pia alitaja Facebook mara kadhaa katika hotuba yake ya kwanza kubwa wakati wa ufunguzi wa bunge: “Serikali haina sera ya kufunga mtandao wa Facebook, lakini ningependa kutoa wito kwa watu kutofanya Facebook kuwa chombo cha kuharibu utulivu wa jamii na kutusi watu. “

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.