Mazungumzo ya GV: Tafakuri ya Kina Kuhusu Muziki wa Mahadhi ya Pop Nchini Korea

Umekuwa ukiitwa “bidhaa kuu ya mauzo nje” ya taifa la Korea Kusini. Wimbo wa PSY ulio katika mahadhi ya Pop ndio wimbo uliotazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube.

Lakini nyuma ya hali hii inayoonekana kijuu juu kuwa ni kupendwa na malipo makubwa kadhalika, muziki huu hauwezi kuwa mzuri wala wa kuvutia mashabiki wake mpaka kwanza wakaguzi wa kazi za sanaa nchini Korea Kusini hawajakamilisha kazi yao.

Mhariri wetu mtendaji Our Solana Larsen anazungumza na mhariri wetu wa lugha ya Kikorea Yoo Eun Lee kuhusu ukuaji wa umaarufu wa muziki wa miondoko ya K-pop duniani kote.

Yoo Eun pia ni mwandilishi wa tovuti ya K-pop Decoder.

Tunamwuliza anafikiri nini kinaufanya muziki wa K-pop uwe wa pekee? Je, muziki huo wa K-pop umekuwa na athari gani kwenye utamaduni, mitindo na muziki wa Korea Kusini? Na ikiwa anafikiri mafanikio ya muziki huo wa Kikorea duniani kote yangewezekana pasipo mitandao ya kiraia na YouTube.

Jisikie huru kuuliza maswali zaidi hapa chini. 

1 maoni

  • […] Mazungumzo ya GV: Tafakuri ya Kina Kuhusu Muziki wa Mahadhi ya Pop Nchini Korea Umekuwa ukiitwa “bidhaa kuu ya mauzo nje” ya taifa la Korea Kusini. Wimbo wa PSY ulio katika mahadhi ya Pop ndio wimbo uliotazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube. Lakini nyuma ya hali hii inayoonekana kijuu juu kuwa ni kupendwa na malipo makubwa kadhalika, muziki huu hauwezi kuwa mzuri wala wa kuvutia mashabiki wake mpaka kwanza wakaguzi wa kazi za sanaa nchini Korea Kusini hawajakamilisha kazi yao. Mhariri wetu mtendaji Our Solana Larsen anazungumza na mhariri wetu wa lugha ya Kikorea Yoo Eun Lee kuhusu ukuaji wa umaarufu wa muziki wa miondoko ya K-pop duniani kote. Yoo Eun pia ni mwandilishi wa tovuti ya K-pop Decoder. Tunamwuliza anafikiri nini kinaufanya muziki wa K-pop uwe wa pekee? Je, muziki huo wa K-pop umekuwa na athari gani kwenye utamaduni, mitindo na muziki wa Korea Kusini? Na ikiwa anafikiri mafanikio ya muziki huo wa Kikorea duniani kote yangewezekana pasipo mitandao ya kiraia na YouTube. Jisikie huru kuuliza maswali zaidi hapa chini.  Imeandikwa na Solana Larsen · Imetafsiriwa na Christian Bwaya · Angalia ujumbe mama [en] · maoni (0) Tuma: facebook · twitter · googleplus · reddit · StumbleUpon · delicious … Kusoma makala kamili  »  http://sw.globalvoicesonline.org/2014/02/mazungumzo-ya-gv-kuhusu-muziki-wa-mahadhi-ya-pop-nchini-korea-na-ufuatiliwaji/ […]

jiunge na Mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.