Habari kutoka Muhtasari wa Habari kutoka Januari, 2011
Misri: Habari Za Maandamano Ya Upinzani Moja Kwa Moja Kwenye Facebook
Habari za maandamano ya upinzani ya Januari 25 ya vuguvugu la la Vijana wa Aprili 6 zinapatikana kwenye ukurasa huu wa Facebook (Ar). Taarifa zimeibuka leo kuwa Facebook ilikuwa imezuiliwa...
Syria: Propaganda ya Vyombo vya Habari vya Serikali Kuhusu Maandamano ya Tunisia na Misri
Mwanablogu wa ki-Syria Maurice Aaek amegundua[ar] kwamba vyombo vya habari vinavyoendeshwa na serikali nchini Syria vinachapisha habari za uongo na nusu-kweli kuhusu maandamano ya upinzani nchini Tunisia na Misri. Amegundua...
Urusi: Mlipuko Katika Kiwanja cha Ndege cha Domodedovo
Bomu lililipuka katika kiwanja cha ndege cha Domodedovo mjini Moscow, kwa uchache vifo vya kadri ya watu kumi vimeripotiwa. Mmiminiko wa Twita unapatikana hapa (RUS) na hapa (RUS, ENG). @ann_mint,...