· Julai, 2009

Habari kutoka Muhtasari wa Habari kutoka Julai, 2009

Kwa mujibu wa gazeti la Guardian, Jeshi Maalum la mapinduzi la Iran limesema kwa kupitia chombo cha habari cha taifa kwamba tovuti na wanablogu wote ni lazima waondoe makala zote zinazoweza ‘kusababisha hali mbaya’, la sivyo watachukuliwa hatua za kisheria.

Kuhusu habari zetu za Muhtasari wa Habari

Hizi ni habari mpya zilizoandikwa kwa muhtasari.