Habari kuhusu Harakati za Mtandaoni kutoka Aprili, 2014
30 Aprili 2014
Ni “Udhaifu” wa Serikali, Yasema Ripoti ya Ajali ya Kivuko cha Korea Kusini
Zimetimu siku 14 tangu kivuko cha Sewol kizame na watu 205 wamethibitika kupoteza maisha. Wanasiasa wanatumia tukio hilo na habari zisizosahihi za vyombo vya habari...
26 Aprili 2014
Mazungumzo ya GV: Moja kwa Moja kutoka Kombe la Dunia la Mtandaoni

Je, tuna mpango wa utawala wa mtandao wa intaneti duniani? Mazungumzo ya wiki hii yanakujia kutoka kwenye mkutano wa Net Mundial jijini São Paulo, Brazil.
23 Aprili 2014
16 Aprili 2014
Blogu ya Tunisia Yazindua Jukwaa la ‘Kuvujisha Taarifa Nyeti’
Blogu ya Tunisia iliyowahi kushinda tuzo iitwayo Nawaat imezindua jukwaa lake la kuvujishia taarifa nyeti: Nawaat Leaks.
10 Aprili 2014
Mwanablogu wa Iran Aliyefungwa Aandika Barua Kuelezea Anavyoteswa
Mwanablogu anayefahamika kama Siamak Mehr ameandika barua ya wazi kutoka jela anakoishi kwenye chumba kidogo na wafungwa 40. Anatumikia kifungo cha miaka minne kwa kosa...
9 Aprili 2014
Jijini Havana Unapata Kitabu Bure, Bila Malipo
"Kitabu hiki kinamilikiw ana yeyote atakayekipata na kukitoa tena baada ya kukisoma ili watu wengine wakifurahie."
4 Aprili 2014
Mazungumzo ya GV: “Mtandao wa Twita” wa Siri wa Kimarekani Nchini Cuba

Mpango wa siri wa Marekani wa kubadili utawala nchini Cuba wenye huduma ya ujumbe inayofanana na Twita iitwayo ZunZuneo sasa unaangaliwa kwa mashaka baada ya...