Habari kuhusu Harakati za Mtandaoni kutoka Oktoba, 2013
Maadhimisho ya Miaka 30 ya Maandamano ya Usawa ya Wafaransa
Miaka 30 iliyopita (Oktoba 15, 1983), a maandamano ya usawa dhidi ya ubaguzi wa rangi [fr] yalianzia Marseille na watu 32, wengi wao wakiwa wenye asili ya Kiarabu, kwa kuomba haki ya kupiga...
Jieleze:Siku ya Blogu kwa Haki za Raia!
Octoba 16 ni Siku ya Blogu. Jiunge na wanablogu duniani kote kuzungumzia mada ya mwaka huu: Haki za Binadamu.
‘Mwanablogu Mzuri Lazima Awe na Sifa za Asili za Waandishi Wazuri wa Habari’
Dorothée Danedjo Fouba, mshindi wa tuzo ya “Blogu Bora ya Teknolojia Afrika, iliyotolewa Tuzo za Uandishi wa Kiraia za Telkom-Highway Africa 2013“, alizungumza na Dibussi Tande (@dibussi) kuhusu maendeleo yake...
Hong Kong: Pinga Biashara ya Pembe za Ndovu
Muungano wa watu binafsi na Asasi Zisizo za Serikali zinazoguswa na tatizo la ujangili wa tembo, Hong Kong kwa Tembo, uliandamana Oktoba 4, wakiitaka Hong Kong kuteketeza hifadhi yake ya tani 25 za pembe za ndovu.
GV Face: Wanawake Nchi Saudi Arabia Wanuia Kuendesha
Katika toleo la GV Face wiki hii, tunakutana na mwanablogu wa Jeddah na mwandishi Tamador Alyami anayeunga mkono kampeni ya #WanawakeWataendesha, Hadeel Mohammed, Mwandishi wetu wa Saudia anayeishi Dammam na Mhariri wetu wa Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini Amira Al Hussaini
Kuwasaidia Waathirika wa Tetemeko la Balochistan
Zaidi ya watu 300,000 wameathirika kufuatia tetemeko la hivi karibuni katika wilaya sita za Jimbo la Balochistan nchini Pakistan. Kashif Aziz wa mtandao wa Chowrangi anatoa habari za namna ya...
#EauSecours: AlamaHabari ya Kufanyia Mzaha Tatizo la Maji Dakar, Senegal
Dakar, mji kuu wa Senegal, umekumbwa na uhaba wa maji kwa siku 15 zilizopita [fr]. Wa-Senegali katika mitandao ya kijamii wanazoea tatizo hili kwa kufanyiana utani na uvumilivu. AlamaHabari (Hashtag)...
Zana ya Mtandaoni ya Kuwapima Wagombea Urais Nchini Madagaska
Tovuti ya ki-Malagasi iitwayo Madatsara imetengeneza tovuti utakayotumika kama majukwaa ya kuwapima wagombea wote wa Urais [fr]. Majukwaa yote yametengwa katika mada tisa kuwasaidia wananchi kufanya maamuzi ya busara wakati...
Katika Jamhuri ya Afrika, ”Bado Tuna Matumaini ya Kuishi Pamoja kwa Amani”
Kama mapigano baina ya waasi wa Sékéla na jeshi la taifa la Jamhuri ya Afrika ya Kati vinaendelea, mvutano katika mji wa Bossangoa. Wenyeji wanahofia kwamba migogoro inaweza kumwagika katika mapigano ya...