Habari kuhusu Harakati za Mtandaoni kutoka Julai, 2014
Dunia Yatwiti Kuwatetea Wanablogu wa ki-Ethiopia Waliokamatwa Julai 31

Unagana na wanablogu wa Global Voices katika zoezi la kutwiti litakalofanyika duniani kote kwa lugha tofauti kuwatetea wanablogu na wanaandishi wa habari wanaokabiliwa na mashtaka ya ugaidi nchini Ethiopia.
Wanablogu wa Zone 9 Washitakiwa kwa Ugaidi Nchini Ethiopia
Wanablogu tisa na waandishi, wanne wao wakiwa wanachama wa Global Voices, wamekana mashitaka yao na wanajiandaa kwa utetezi kesi itakaposikilizw atena Agosti 8.
Mjadala Kuhusu Upatikanaji wa Mtandao wa Intaneti Wazidi Kushika Kasi Nchini Cuba
Raia wa nchini Cuba waendelea kudai kupunguzwa kwa gharama za mtandao wa intaneti pamoja na urahisi wa upatikanaji wake.
Jifunze Namna ya Kulinda Mawasiliano Yako ya Barua Pepe kwa Dakika Zisizozidi 30
Ulinzi binafsi wa Barua pepe , ni mwongozo wa anayetaka kujifunza kulinda barua pepe zake kwa kutumia Mfuko wa Zana Huru (FSF), uliotolewa katika lugha sita mpya [kifaransa, kijerumani, kijapani, kirusi, kireno, kituruki] mnamo Juni 30, 2014. Matoleo...
Namna Teknolojia Inavyosaidia Watu Kujifunza —na Hata Kuokoa—Lugha za Dunia

Waleta mabadiliko sasa wanatumia nguvu ya teknolojia kujaribu kuziokoa lugha zilizo kwenye hatari ya kupotea, na kwa nadra, kuzifufua lugha zilizokwisha kufa.
Mwanablogu wa Kibahraini Takrooz Akamatwa
Mtumiaji wa mitandao ya kijamii wa Kibahraini Takrooz amekamatwa kwa madai ya "kuchochea chuki dhidi ya utawala" kwenye mtandao wa Twita.