Habari kuhusu Harakati za Mtandaoni kutoka Novemba, 2016
Serikali ya Ethiopia Yamshikilia Mwanablogu wa Zone9 Befeqadu Hailu kwa Kigezo cha ‘Hali ya Hatari’
Hailu alitarifiwa kuwa kukamatwa kwake kulisababishwa na mahojiano aliyoyafanya na Idhaa ya Amerika katika lugha ya Kiamfariki kuhusu hali ya hatari iliyotangazwa nchini Ethiopia.
Picha Iliyokuwa Kichekesho Yageuka kuwa Kampeni Kubwa ya Kuwachangia Watoto Nchini Ghana
"Kumekuwa na masimulizi mengi ya namna uchangishaji unavyoweza kutatua changamoto nyingi. Lakini inasisimua kuona ujumbe hasi na wa kuchekesha inavyogeuka kuwa simulizi zuri..."
Wiki ya Wanablogu wa ki-Caribiani 2016 Yalenga Kukuza Sauti za Eneo Hilo Mtandaoni
Wanablogu wa Caribiani wapo, na wana sauti zinazostahili kutambuliwa.