Habari kuhusu Harakati za Mtandaoni kutoka Juni, 2013
Misri Inavyopoteza Miji ya Kihistoria
Cairoobserver atoa wito [ar] kwa wakaazi wa Misri kupitia mtandao wa
‘Sauti za Iran’ Mradi Unaowapa Sauti Raia Waishio Vijijini
Sauti za Iran ni mradi ulioundwa kwa kutumia mafanikio ya mradi wa Ushahidi. Sauti za Iran inakusudia kuripoti habari kuhusu miji midogo na vijiji vya Iran na vile vile kukusanya...
Kukamatwa kwa Mwandishi wa Habari wa Kimasedonia Kwachochea Maandamano
Waandishi wa habari wa Kimasedonia walikusanyika [tazama video na soma nakala] mbele ya Mahakama ya Makosa ya Jinai hivi leo katika mji mkuu Skopje kupinga kukamatwa kwa mwenzao, Tomislav Kezarovski, kwa mujibu wa...
Ukatili wa Polisi Nchini Macedonia: Miaka Miwili Baadae
Siku ya Alhamisi, Juni 6, katika kituo cha Skopje, Vuguvugu la Kupinga Ukatili wa Polisi litatimiza miaka miwili baada ya mauaji ya Martin Neshkovski, ambayo yalisababisha maandamano makubwa katika ngazi za...