Habari kuhusu Harakati za Mtandaoni kutoka Februari, 2014
Mchora Katuni wa Algeria Ahukumiwa Kifungo cha Miezi 18 Jela kwa Kumdhihaki Rais
Djamel Ghanem anakabiliwa na kifungo cha jela kwa kuchora katuni inayoufananisha mpango wa Rais wa Aljeria Abdelaziz Bouteflika wa awamu ya nne na nepi ya mtoto. Katuni hiyo, hata hivyo haikuwahi kuchapishwa
Sababu 10 Kwa nini Siafiki Shariah Nchini Pakistan
Mmoja wa msemaji wa Taliban alijitoa kwenye majadiliano ya hivi karibuni na serikali ya Pakistan na kudai kuwa ajenda ni pamoja na kuanzishwa kwa sharia kali. Mwanablogu wa Pakistan na...
Tafakuri kwenye Mkutano Mkubwa Zaidi wa Blogu Nchini India
#WIN14, mkutano mkubwa zaidi na tuzo zinazoongoza nchini India, unaoandaliwa na BlogAdda, ulifanyika Februari 89, 2014. Mwanablogu Dk. Roshan Radhakrishnan, aliyeshinda tuzo ya blogu bora ya uandishi wa ubunifu nchini...
Fuatilia Kuenea kwa Maandamano ya Ukraine
Maandamano yamechukua sura mpya tarehe 18 Februari, na Ukraine sasa imekuwa uwanja wa mapambano baina ya mamia ya maelfu ya raia na vikosi vya ulinzi.