Habari kuhusu Harakati za Mtandaoni kutoka Agosti, 2021
Kundi La Wadukuaji Wasiojulikana Laweka Wazi Takwimu za Siri za Serikali Kuhusu Maambukizi ya COVID-19 Nchini Nicaragua
Udukuaji huo ulionesha ongezeko la visa 6,245 vya maambukizi ya COVID-19 ndani ya Nicaragua ambapo awali havikuripotiwa kwa umma.