Habari kuhusu Harakati za Mtandaoni kutoka Februari, 2015
Mwanamke Atumia Mtandao wa Instagram Kubadili Mtazamo Kuhusu Somalia
Ugaaso Boocow anataka kubadili mtazamo wa watu kuhusu nchi ya Somalia. Lakini badala ya kuingia mitaani au kutumia radio, ameamua kuingia kwenye mtandao wa Instagram...
Twiti kwa #Kilugha Kusherehekea Wingi wa Lugha Mtandaoni
Dunia inazungumza maelfu ya lugha, lakini hutalijua hilo kwa kutazama kwenye mtandao wa twita. Unaweza kusaidia kubadilisha hali hiyo kwa ku-twiti katika lugha yako ya...
Raia wa Masedonia Watumia Sheria ya Uhuru wa Habari Kupinga Sheria Mpya ya Wafanyakazi
Baadhi ya wafanyakazi wasio na mikataba y kudumu pamoja na wale walio na mwajiri zaidi ya mmoja walizuiwa kupokea mishahara yao ya mwezi Januari kwa...
Wafilipino Wauliza ‘Rais Yuko Wapi?’ Baada ya Kutokuonekana Kwenye Mapokezi ya Polisi Waliouawa
Polisi arobaini na wanne walipoteza maisha yao kwenye operesheni maalum ya kumkamata mtu anayedaiwa kuwa mhusika mkuu wa mabomu ya Bali ya mwaka 2002. Rais...
Serikali ya Masedonia Yazuia Kupiga Picha za Maandamano kwa Kutumia Kamera za Anga
Video na picha zilizotengenezwa kwa kutumia kamera inayopaa angani zilikuwa nyenzo muhimu ya kuonesha ukubwa wa maandamano ya wanafunzi, ambayo yameitwa maandamano makubwa ya wanafunzi...