Habari kuhusu Harakati za Mtandaoni kutoka Aprili, 2016
Mwanablogu wa Irani Agoma Kula kwa Siku 18, Afya Yake Yazorota Akipambana Kudai Uhuru
Mwanaharakati na mwanablogu wa kupinga kudhibitiwa kwa habari Hossein Ronaghi Maleki amekuwa kwenye mgomo wa kula tangu Machi 26, na afya yake inaendelea kuzorota kwa kasi