Habari kuhusu Harakati za Mtandaoni kutoka Aprili, 2020
#MatrikiUtambulisho: Mazungumzo ya Twita yanayoangazia utambulisho na haki za kidijitali barani Africa
Wanaharakati kutoka Burkina Faso, Nijeria, Afrika Kusini na Kenya, wataongoza mazungumzo kwenye mitandao ya kijamii kwa kutumia lugha zao za asili kuhusu masuala ya lugha, makabila na haki za kidijitali barani Afrika.