Habari kuhusu Harakati za Mtandaoni kutoka Aprili, 2018
Serikali ya Uganda Yapanga Kutoza Kodi Watumiaji wa Mitandao ya Kijamii kwa Kuendekeza Umbea
Uganda inataka kufaidika mahali ambapo haijawekeza. Wamiliki wa mitandao ya kijamii hutoa huduma bila kutoza kodi, wewe unataka walipe kodi?