Habari kuhusu Harakati za Mtandaoni kutoka Februari, 2012
Habari za Ulimwengu: Mikesha ya Mshikamano na Wanatibeti
Tangu mwezi Februari 2009, WaTibeti 23 wamejichoma moto ili kudai Tibeti huru na kurejea kwa Dalai Lama. Katika mwezi wa mwaka mpya wa kiTibeti, wanaharakati kutoka duniani kote wanaonyesha jinsi wanavyowaunga mkono waTibeti kwa maandamano na dua.