Habari kuhusu Harakati za Mtandaoni kutoka Julai, 2017
Mkutano wa Wapoland Kudai Mahakama Huru Dhidi ya Marekebisho Yanayofanywa na Chama Tawala
"Mkutano wa demokrasia nchini Poland unaendelea...Mishumaa ni alama ya matumaini ya uhuru na mustakabali bora zaidi."
Mamlaka za Uturuki Zawatia Kizuizini Wapigania Haki za Binadamu Maarufu Wakiwa Kwenye Warsha ya Uwezeshaji
"Watu [hawa] waliojitolea maisha yao kwa ajili ya kupigania haki za binadamu. Siku yaja watakaposimama kidete kutetea haki za wake wanaohusika kuwakamata."