Habari kuhusu Harakati za Mtandaoni kutoka Februari, 2017
Kikundi cha ki-Islam Chadai Kuondolewa kwa Sanamu Mbele ya Mahakama Kuu Nchini Bangladesh
Mamlaka zimepewa chini ya juma moja kufanyia kazi madai ambayo wakuu wa serikali na watumiaji wa wanayaona kama hayana maana
Serikali ya Kenya Yadaiwa Kuwalipa Watumiaji Maarufu wa Mtandao ya Kijamii Kutangaza Habari za “MadaktariWalafi”

Kadri madai ya kuingiliwa kwa mitandao ya kijamii yakiongezeka, viongozi saba wa Chama cha Madaktari nchini Kenya wamehukumiwa kifungo kwa kushindwa kuzima mgomo huo unaoendelea.