makala mpya zaidi zilizoandikwa na Albert Kissima kutoka Februari, 2015
Watoto Waliokosa Masomo kwa Miezi kadhaa, Wafundishwa kwa Njia ya Skype Nchini Libya
Haifa El-Zahawi, raia wa Libya aishiye New York, kwa mara ya kwanza amewapatia fursa ya kusoma watoto wa nchi atokayo ya Libya kufuatia watoto hao kushindwa kwenda shuleni kwa miezi kadhaa sasa. Shukrani kwa mawasiliano kupitia Skype
Mradi wa Video Waelezea Mapambano ya Kimaisha ya Watu wa Papua ya Magharibi
"Hizi ni habari tofauti na zile za mgogoro uliopo: Harakati za kupata elimu, mazingira, usawa na utu."
Je, Kuahirishwa kwa Uchaguzi Mkuu Naijeria Kunatokana na Sababu za Kiusalama?
Jeshi la Nigeria litaendesha operesheni maalum ya wiki sita dhidi ya Boko Haram ili"kuepusha kuingiliwa na shughuli za uchaguzi." Baadhi ya watu wanatilia shaka kuwa, kuahiririshwa kwa uchaguzi ni mkakati wa kisiasa.
Mkutano wa Global Voices 2015, Tunasonga Mbele na Kupaa Juu Zaidi Kimafanikio
Pengine hatukuweza kuonekana kutokea angani, kama ilivyo kwa Ukuta Mkubwa wa China. Lakini kwa bahati nzuri kifaa mithili ya eropleni kilichofungwa kamera kiliweza kutuchukua picha za video tukiwa mbele ya...
Raia wa Masedonia Watumia Sheria ya Uhuru wa Habari Kupinga Sheria Mpya ya Wafanyakazi
Baadhi ya wafanyakazi wasio na mikataba y kudumu pamoja na wale walio na mwajiri zaidi ya mmoja walizuiwa kupokea mishahara yao ya mwezi Januari kwa mujibu wa sheria mpya za kodi na utoaji wa ada. Waandamani wana lengo la kuweka bayana namna serikali isivyokuwa na utaratibu mzuri wa kutekeleza sheria hizi.
Raia wa Jordan Washitushwa na Video ya Mauaji ya ISIS, Wamkumbuka Mwanajeshi Aliyeuawa Kishujaa
Muonekano wa kutisha wa video ya mauji ya Rubani wa Jordan imewashitua wengi, lakini baadhi ya watu hawakukubali kuruhusu propaganda za ISIS za kuharibu kumbukumbu nzuri ya shujaa huyu aliyeuawa.