I am a Tanzanian, professionally a science Teacher specifically for chemistry and Mathematics. I fluently speak Kiswahili. As a Swahili speaker, its my duty to inform swahili speakers around the Globe with news which are hardly found in other news media but only in Global Voices, “Sauti za Dunia, Ulimwengu unaongea, wasikiliza”.
makala mpya zaidi zilizoandikwa na Albert Kissima kutoka Agosti, 2015
Unataka Kuuona Mji Huru wa Kwanza wa Kiafrika Barani Amerika? Nenda nchini Mexico
Waafrika-Wa-Kimexicowanajivunia kuwa sehemu ya simulizi ya “El Yanga,” aliyejulikana dhahiri kama Mfalme aliyekuwa mateka kutoka katika kabila la Yang-Bara la Gabon, ambaye aliwasaidia watumwa kupata uhuru kutoka kwa Waspaniola kwenye miaka ya 1570.
Mlipuko na Milio ya Risasi Katika Kasri la Dolmabahçe huko Instanbul
Mnamo Agosti 19, jiji la Istanbul lilijikuta katika hali ya taharuki kufuatia kuendelea kushamiri kwa hali tete ya kisiasa nchini Uturuki
‘Escopetarra': Chombo cha Kipekee
Kama unaamini kuwa hakuna jambo zuri linaloweza kutokana na bunduki aina ya gobore, basi unapaswa kukifahamu kifaa kiitwacho “escopetarra”— mchanganyiko uliotokana na kubadilisha silaha mbili “hatari” (an AK-47 na gitaa) na kuwa kifaaa cha amani. “Escopetarra” ni neno lililotokana na muunganiko wa maneno ya Kispaniola, “escopeta” (bunduki) na “guitarra” (gitaa). Kwenye...