makala mpya zaidi zilizoandikwa na Albert Kissima kutoka Machi, 2014
Kuwait Inacheza Dansi na Inayo Furaha
Kuwait inaonesha furaha yake kwa kubuni upya video ya wimbo wa Pharrel unaojulikana kwa jina la "Furaha". Tazama video hii uone namna watu wa Kuwait wanavyocheza.