I am a Tanzanian, professionally a science Teacher specifically for chemistry and Mathematics. I fluently speak Kiswahili. As a Swahili speaker, its my duty to inform swahili speakers around the Globe with news which are hardly found in other news media but only in Global Voices, “Sauti za Dunia, Ulimwengu unaongea, wasikiliza”.
makala mpya zaidi zilizoandikwa na Albert Kissima kutoka Oktoba, 2013
Yemeni: Bundi Atua Nje ya Dirisha Langu
Mwanablogu wa Yemeni, Abdulkader Alguneid amkuta bundi nje ya dirisha lake: Kupitia mtandao wa Twita, anaelezea tukio hilo ambalo ni nadra sana kutokea: بومة كبيرة خلف زجاج نافذتي، 1.30 بعد منتصف الليل. Alikuwa Bundi mkubwa, nyuma ya dirisha langu la kioo, majira ya saa 7.30 usiku, tarehe pic.twitter.com/19WjfUelQ0 — abdulkader...
Namna Wanawake Nchini India Wanavyoweza Kujilinda
Ukatili dhidi ya wanawake umezidi kushika kasi nchini India. Mwandishi na mwanablogu Shilpa Garg aweka bayana dondoo za namna ambavyo wanawake wanavyoweza kuchukua tahadhari na kujilinda.
Kampeni ya Mtandaoni ya Kudai Amani Nchini Msumbiji
Blogu ya Mozmaniacos [pt] imezindua kampeni ya mtandaoni ya kudai amani nchini Msumbiji, kufuatia tishio la kuhatarisha amani iliyodumu kwa miaka 20 . Kwa kutumia kiungo habari #MozQuerPaz (#MozWantsPeace), watumiaji wa Facebook, Twitter, na Instagram waanza kuchangia picha zao pamoja na maoni yao kuhusiana na kampeni hii.