I am a Tanzanian, professionally a science Teacher specifically for chemistry and Mathematics. I fluently speak Kiswahili. As a Swahili speaker, its my duty to inform swahili speakers around the Globe with news which are hardly found in other news media but only in Global Voices, “Sauti za Dunia, Ulimwengu unaongea, wasikiliza”.
makala mpya zaidi zilizoandikwa na Albert Kissima kutoka Machi, 2015
Picha za Kusikitisha za Watoto wa Kifilipino Wanaofanya Kazi Migodini
"Ni miaka minne sasa tangu nilioacha shule. Niliweza kufika darasa la sita peke yake na hapo nililazimika kuachana na masomo ili nikafanye kazi".