Albert Kissima · Oktoba, 2014

makala mpya zaidi zilizoandikwa na Albert Kissima kutoka Oktoba, 2014

Katika Picha: Gaza Yaadhimisha Eid Al-Adha

Ikiwa na zaidi ya Wapalestina 2,000 waliojeruhiwa katika mashambulizi ya hivi karibuni yaliyofanywa na Isralei katika Ukanda wa Gaza, raia bado wanaona leo hii kuna kila sababu ya kusherehekea sikukuu ya Kiislam ya Eid Al-Adha.

9 Oktoba 2014