makala mpya zaidi zilizoandikwa na Albert Kissima kutoka Oktoba, 2016
Kashfa Nyingine Yalikumba Kanisa la Orthodox la Nchini Urusi Kufuatia Kasisi Kuonekana na Saa Yenye Thamani ya $40,000
Kanisa la Orthodox la nchini Urusi limejikuta katika kashfa kwa mara nyingine, na kwa sasa kashfa hii inahusishwa na saa ya mkononi ya Kasisi mwandamizi wa St. Petersburg.