makala mpya zaidi zilizoandikwa na Albert Kissima kutoka Septemba, 2013
Bunge la Tanzania Lageuka Uwanja wa Masumbwi
Siku za hivi karibuni, Mbunge wa Bunge la Tanzania alijikuta katika wakati mgumu pale alipokabiliana kwa nguvu na majibizano na maafisa wa usalama wa Bunge. Si mara ya kwanza kwa hali ya mambo kuishia kwa machafuko katika Bunge la Tanzania.