I am a Tanzanian, professionally a science Teacher specifically for chemistry and Mathematics. I fluently speak Kiswahili. As a Swahili speaker, its my duty to inform swahili speakers around the Globe with news which are hardly found in other news media but only in Global Voices, “Sauti za Dunia, Ulimwengu unaongea, wasikiliza”.
makala mpya zaidi zilizoandikwa na Albert Kissima kutoka Februari, 2014
Venezuela Nitakayoikumbuka Daima
Raia wa Peru Gabriela Garcia Calderón anaikumbuka Venezuela ya miaka ya 1990, nchi tofauti kabisa na ile inayoonekana kwenye vichwa vya habari katika siku hizi za hivi karibuni.
PICHA: Muonekano Uletao Kizunguzungu Kutoka Kilele cha Mnara wa Shanghai
Take a look at photos taken by Russian climbing team Vadim Makhorov and Vitaly Raskalov from the top of what will soon be the second tallest building in the world.
Mwandishi wa Habari Mwingine afariki Nchini Mexico: Gregorio Jiménez de la Cruz
Kaburi la siri lilikuwa ni mwisho wa maisha ya mwandishi wa habari wa nchini Mexico, Gregorio Jiménez de la Cruz.. Waliomuua, hadi sasa bado hawajafikishwa mahakamani.
Theluji Nchini Iran: Watu 500,000 Wakosa Umeme, Nishati ya Gesi Pamoja na Maji
Kuanguka kwa barafu kusiko na kikomo katika baadhi ya maeneo ya Kaskazini kabisa mwa nchi ya Iran wmisho wa wiki hii kumewaacha maelfu ya watu bila ya nishati ya gesi, nishati ya umeme pamoja na maji.
PICHA: Raia wa Costa Rica Waishio Nje ya Nchi Wapata Fursa ya Kupiga Kura
Huu ni uchaguzi wa kwanza wa Urais ambapo imewezekana watu walio nje ya nchi kuweza kupiga kura. Kutoka maeneo mbalimbali ya Dunia, raia wa Costa Rica wamekuwa wakitumia mtandao wa Twita kutaarifu kuhusiana na kupiga kwao kura.
Misri: Kupandishwa cheo kwa Sissi ni ya Hutua ya Kuelekea URais?
Kupandishwa cheo kwa Abdel Fattah El Sissi hadi kuwa Jemadari Mkuu kumezua mjadala mkubwa katika mitandao ya intaneti, ambapo watu wengi wanawaza kuwa kama ndio njia yake ya kugombea Urais.