makala mpya zaidi zilizoandikwa na Albert Kissima kutoka Mei, 2021
Watumiaji wa simu za mkononi wanajilinda vya kutosha dhidi ya ukiukwaji wa haki ya faragha?
Kwa makampuni ya teknolojia, taarifa binafsi za watu ni chanzo kikuu cha mapato yao. Hata hivyo, watumiaji wa makampuni haya wanakabiliwa na hatari kubwa ya usalama wa taarifa zao. Je, kuna njia muafaka ya kulinda haki yao ya faragha?